Ndg wana udomasa, kwetu sisi hizi ni chokochoko.
Kwa wale ambao hawajapata taarifa bado, wenzetu waliorudishwa kazini, baada ya kupewa barua wameambiwa waripoti kwa mama Sawasawa. Walitiiila walichokikuta MUNGU mwenyewe ndiye ajuaye. Waliamuriwa walipe mafao yote waliopewa zaidi ya m 5 kila mmoja ndipo waliripoti.
Huu ni unyama, ukandamizaji, dhuluma na kila aina ya neno lifananalo na haya. Hatujawahi kuona WANASHERIA DHAIFU KAMA WA UDOM. CHOKOCHOKO zote hizi za kuandika HUMANITARIAN AND GOOD FAITH ni kuficha uelewa wao mdogo juu ya sheria na pia kutimiza haja zao za kuwanyonga wenzetu.

UTU na IMANI iliyotumika ni MWANYA tu wa kuhakikisha wenzetu hawa hawarudi kama ilivyoamuliwa. Kila mwana udomasa aone kwamba hali hii haikubaliki na haitakaa ikubalike kwa gharama yeyote ile.Kila mwana udomasa apashe kwa kufanya
zoezi fulani maana safari hii hatuwaachii kwa UHUNI HUU UNAOFANYWA NA HAWA WADHALIMU NA WAKANDAMIZAJI. WOTE TUKAE MGUU SAWA.

AATTEEEEEEEENTION!
--
University of Dodoma Academic Staff Association(Udomasa)
P.O.BOX 259,
DODOMA, TANZANIA
Email:udomasa2011@gmail.com
Phone:+255 713004127,
+255 755210310