Ads 468x60px

Labels

Saturday, March 31, 2012

HUJUMA

UDOMASA

                                               
                                                                                                                               
University of Dodoma, Chimwaga Complex, P.O. Box 259,Udom, Cell +255 755 210310,
+ 255 713 004127, Email: udomasa2011@gmail.com

Ndugu zangu wanaudomasa, niwape hongera na pole kwa kazi za kila siku. Naomba niwajulishe yaliyojiri katika kikao cha Baraza (Council) kuhusu RUFAA za kina DOTTO:-

1.        Katika kikao chake cha 23, Baraza la Chuo chini ya mwenyekiti wake Mh. Balozi Juma Mwapachu limetumia ubabe kukataa kupokea taarifa ya maamuzi ya kamati ya rufaa juu ya rufaa ya wafanyakazi waliosimamishwa kazi iliyosikilizwa tarehe 10/2/2012. 

2.        Hoja iliyopelekea maamuzi hayo ni kisingizio ya kwamba wakati wa kusikiliza rufaa menegimenti inadai haikutendewa haki kwa madai kwamba haikutaarifiwa kwa maandishi na hivyo basi haikuwakilishwa.

3.        Baraza baada ya tuhuma hizo kwenye kikao cha jana ikaamuru rufaa hizi zisikilizwe UPYA ndani ya mwezi wa nne na kamati tendaji ya baraza itakaa kwa dharura tarehe 30/4/2012 kwa ajili ya kupokea taarifa ya kamati ya rufaa.

Ndugu wanaudomasa, kwa kuzingatia yaliyojiri katika kikao hicho; ni wazi kuwa hii ni hujuma, dhuluma, unyanyasaji na mwendelezo wa ukiukwaji na upokonywaji wa haki zetu.

Ukweli halisi ni kwamba menejimenti ilikuwepo, hii inathibitishwa na yafuatayo:-

A.Uwepo wa Mwanasheria wa chuo (Bw. Melkiory Sanga), Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala (Bi. Subira Sawasawa) na Afisa Mkuu wa Utawala (Bw. John Kusaja) katika vikao vyote vya rufaa, na kama wanakataa ya kuwa wao sio menejimenti, ni dhahiri kwamba wanatakiwa watuambie walienda kama nani? Na kutafuta nini katika vikao vya KAMATI HURU. Wakishindwa Kujieleza walienda kutafuta nini, inabidi hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao kwa kuvamia na kuvuruga shughuli za kamati huru ya rufaa.

B.                Barua za kuwaatarifu walalamikaji juu ya kusikilizwa kwa rufaa zao ilitoka katika ofisi ya mwanasheria wa chuo. Hivyo swala la kutokuwa na taarifa sio la kweli kwa sababu kwa taratibu za kiutawala, lazima mwanasheria wa chuo alipata ridhaa kutoka kwa kiongozi wake wa kazi.

MWONGOZO-
Kwakuzingatia yaliyotokea-
1.   kamati kuu ya UDOMASA imeshakaa na kushauriana na wanasheria na kutengeneza muongozo ambao unachanganua njia ambayo tutaelekea.
2.   Tunatarajia kuitisha kikao cha dharura baada ya pasaka - ili tupeane miongozo zaidi juu ya hatua gani za kuchukua. Taarifa kamili za kikao hicho zitatolewa mapema wiki ijayo- baada ya UDOMASA ex-com kukaa jumatatu ya tarehe 2/4/2012.

Friday, March 2, 2012

Ph.D TRAINING OPPORTUNITIES UNDER DANIDA/UDSM-BSUEC-CLIMATE AND ENVIRONMENT PLATFORM-2012


Background
The Environment & Climate Platform (BSUPEC) is one of four platforms in the initiative “Building Stronger Universities in Developing Countries” (BSU). BSU is a partnership between research and higher education institutions in developing countries and Danish universities. The overall objective of the BSU initiative is to strengthen universities in developing countries to increasingly play a role in the economic, social and political development of the societies in which they are located. 

The BSUPEC initially involves partner institutions from Ghana, Tanzania and Denmark. The development objective of the platform is to contribute to informed and improved, sustainable natural resource management and environmental protection considering the needs for sustainable livelihoods, including adaptation and mitigation to climate change – through research capacity building in Ghana and Tanzania. 

Based on relevance for environment and climate in Tanzania and reflecting the capacities, approaches and expertise within the research area, the BSUPEC has initially identified five academic focus areas: (i) Sustainable land use and management; (ii) Sustainable water use and management; (iii) Energy and waste in rural and urban linkages; (iv) Climate change; and (v) Sustainable innovations and planning.
The initiative receives core funding from Danida and is co-funded by the participating universities. Read more about the platform on www.bsuec.org. 

More....Download PhD Advertisement and Application Form.


Welcome to UDOMASA Blog







This is to notify all members of UDOMASA that now we have an association blog! Stay Informed.
By Deman Yusuf
UDOMASA- VP